1.Kwa waliomaliza Cheti na Diploma wanatakiwa kuwasilisha nyaraka zao NACTE ili zihakikiwe(verification) kupitia Link ambayo imetolewa kupitia mtandao wa NACTE baada ya uhakiki huo utapewa #code_namba kulingana na ufaulu wako ambayo ndio itakuwezesha kufanya UDAHILI kwenye chuo kikuu unachokipenda,kumbuka Hakuna chuo kitapokea maombi ya udahili bila code namba hiyo,zoezi limeshaanza na linaendelea Hadi sasa . 2.Kwa waliomaliza Kidato cha Sita maombi UDAHILI kwa mwaka huu Unafanyika moja Kwa moja kupitia chuo na sio TCU kama miaka iliyopita, UDAHILI utaanza tarehe 22.07.2017 hadi 30.08.2017,hivyo mwanafunzi atafanya maombi ya kusoma shahada kupitia chuo anachokipenda, vyuo vikuu vyote vimeshapewa maelekezo kupitia maafisa UDAHILI (admission officers) kupitia mafunzo maalum yaliyoisha tarehe 15.07.2017,Kitu cha muhimu ni kwamba mwanafunzi hatolazimika kusafiri kwenda chuo husika kila kitu kitafanyika kupitia mtandaoni (Online), Anachotakiwa kufanya mwanafunzi ataingi
Comments
Post a Comment