September 27, 2016

SOMA HAPA MAMBO 10 YANAYOSABABISHA FIGO KUHARIBIKAKwa kifupi sana leo tunakutajia baadhi ya Tabia zinazochangia kuharibika kwa Figo. Tutambue kuwa tatizo hili la kufeli kwa figo limeshawakumba wengi na baadhi yao wameshapoteza maisha. Ukiwa mzima mshukuru Mungu na ni vyema ukasoma makala hii ili kujinusuru na janga hili la kuharibikiwa figo.

Hizi hapa ni baadhi ya tabia 10 zinazoharibu figo:
  1. Kubana mkojo kwa muda mrefu
  2. Kutokunywa maji ya kutosha
  3. Kutumia chumvi nyingi
  4. Kula nyama mara nyingi zaidi
  5. Kutokula chakula cha kutosha
  6. Kuchelewa kujitibu maambukizi madogomadogo
  7. Kutumia visivyo dawa za maumivu
  8. Utumiaji wa madawa kwa ajili ya Insulin
  9. Kunywa pombe kupita kiasi
  10. Kutopata muda wa kutosha kupumzika