September 28, 2016

RAIS MAGUFULI: NATAMANI MALAIKA ASHUKE NA AIFUNGIE MITANDAO YA KIJAMIIRais akizungumza leo wakati wa uzinduzi wa ndege mbili aina ya Bombadier Q400, ambazo zimewasili nchini rasmi kutoka nchini Canada. 

''Natamani malaika ashuke azime mitandao ya kijamii, irudi baada ya mwaka 1 ikute hatua kubwa za kimaendeleo tulizopiga''. Ni kauli ya Rais Magufuli.

Amesema kwenye mitandao ya kijamii watu wengi wanaandika bila kuwa na taarifa sahihi. Amesema, "No research no right to speak"