July 23, 2016

TANGAZO LA KUFUNGULIWA KWA MAOMBI AWAMU YA PILI VYUO VYA AFYA, KILMO, MIFUGO N.K (NACTE/CAS)
Baadhi ya waombaji walioshindwa kukamilisha maombi yao kupitia mtandao ilipofika tarehe 3 Juni 2016, wanaarifiwa kuanza kuwasilisha maombi ya udahili kupitia Mfumo wa Udahili wa Pamoja (CAS) ili kujaza nafasi zilizo wazi. Waombaji wanahimizwakutumia muda huu wa nyongeza ili kuwasilisha maombi.

Kusoma guidebooks mbalimbali kulingana na kozi husoka bofya link hizo hapo chini:-