May 21, 2016

TANZIA: ALIYEKUWA MKURUGENZI WA JIJI LA DAR, WILLSON KABWE AFARIKI DUNIANdugu Wilson Kabwe, aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar na baadae kusimamishwa kazi mwanzoni mwa mwezi Mei, amefariki dunia.
Aidha, inasemekana tangu atumbuliwe jipu katika Daraja la Kigamboni (Nyerere Bridge) alipatwa na mshtuko japo tangu awali inadaiwa alikuwa kalazwa India akipatiwa matibabu.