May 10, 2016

MWENYEKITI WA CCM, RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AKAGUA DARAJA LA NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM

 Mweneyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akipewa maelezo ya awali na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, alipowasili kukagua daraja lla Nyerere
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Joseph Nyamhanga, akimpokea Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete alipowasili kukagua daraja la Nyerere, Dar es Salaam
Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akipiga picha ya kumbukumbu na mkewe kwenye daraja la Nyerere, alipokagua daraja hilo leo