May 6, 2016

BREAKING NEWS: MUDA MFUPI BAADA YA RAIS KUTANGAZA KIAMA, SERIKALI YAKAMATA TANI 4,900 ZA SUKARI ILIYOFICHWA JIJINI DAR
Baada ya muda mfupi wa rais kutangaza na kutahadharisha kuwa kuna wafanyabiashara wameficha Sukari, muda huu imeripotiwa kuwa huko Mbagala jijini Dar-es-Salaam kuna Sukari zaidi ya tani 4,900 zimekutwa kwenye ghala la mfanyabiashara mmoja. Hivyo imeelezwa kwamba zitachukuliwa hatua stahikidhidi ya huyo mfanyabiashara.