April 9, 2016

RAIS WA ZANZIBAR DKT.ALI MOHAMED SHEIN ATANGAZA BARAZA LAKE LA MAWAZIRI
Rais wa Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein atangaza Baraza la Mawaziri lenye Mawaziri 13 na Manaibu waziri 7. Mawaziri watatu kwa upande wa upinzani,waingizwa kwenye Baraza jipya la Mawaziri.
Baraza la Mawaziri Zanzibar hao ni;

1). Ofisi ya Rais na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi - Issa Haji Ussi Gavu.

2). Katiba na Sheria Utumishi wa Umma - Haroun Ali Sleiman.

3). Tawala za Mikoa na Idara maalum - Haji Omari Kheir.

4). Makamo wa 2 wa Rais - Mohd Aboud.

5). Waziri wa Fedha na Mipango - Dk. Khalid Salum Mohd.

6). Afya - Mahmoud Thabit Kombo.

7). Wizara ya Elimu - Riziki Pembe Juma.

8). Viwanda na Masoko - Amina Salum Ali.

9). Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi - Ali Karume.

10). Habari Utalii Utamaduni na Michezo - Rashid Ali Juma.

11). Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi - Hamad Rashid Mohamed

12). Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto - Mauldine Castiko.

13). Maji Ardhi Nishati na Mazingira - Salama Aboud Talib.