March 15, 2016

RAIS AWAAPISHA WAKUU WA MIKOA, MKURUGENZI MKUU WA TAKUKURU NA KAMISHNA MKUU WA TRA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Amina Juma Masenza kuwa mkuu wa mkoa wa Iringa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Zelote Steven Zelote Kamishna Msaidizi Mwandamizi Mstaafu wa Polisi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha  Meja Jenerali Mstaafu Salum Mustafa Kijuu kuwa mkuu wa mkoa wa Kagera Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Paul Makonda kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Ikulu jijini Dar es Salaam.
Wakuu wa mikoa wakila kiapo cha Uadilifu