March 12, 2016

NAPE ARUDI JIMBONI KWAKE

Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na wananchi wa Milamba kwenye mkutano wa kuwashukuru na kuwapa taarifa za mambo ambayo ameshafanya mpaka sasa.
 Wakazi wa Chiuta jimbo la Mtama wakiangalia vitabu ambavyo walikabidhiwa na Mbunge wao Mhe.Nape Nnauye kwa ajili ya Sekondari ya Chiuta.
Mhe. Nape Nnauye akizungumza na kijana wa kijiji cha Chiuta mara baada ya kumaliza kuongea na wakazi wa kijiji chicho.
Mhe. Nape Nnauye akicheza pool table  na vijana wa kijiji cha Chiuta jimbo la Mtama