March 21, 2016

BREAKING NEWS/ TANZIA: MKUU WA WILAYA YA NJOMBE AFARIKI DUNIA GHAFLAAliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Njombe na mwanahabari mkongwe Bi Sarah Dumba amefariki dunia ghafla akiwa wilayani Njombe mkoa wa Njombe.

Mkuu huyu wa Wilaya amefariki usiku huu kwa shinikizo la damu na mwili wake umehifadhiwa Hospitali ya Wilaya ya Njombe, Kibena.

PICHA MBALIMBALI ZA ALIYEKUWA MKUU WA WILAYA YA NJOMBE