March 14, 2016

AJALI BASI LA LEINA TOURS

Basi la Leina Tours lililokuwa likitokea Kahama kwenda Dar es Salaam, limeacha njia na kutumbukia katika mtaro eneo la Kimara Bucha usiku wa kuamkia leo. 
 
Idadi ya waliofariki haijafahamika ila waliojeruhiwa ni zaidi ya 30 na walikimbizwa Haospitali ya Mwananyamala na Muhimbili kwa ajili ya matibabu.
 
PICHA ZA TUKIO HIZI HAPA CHINI