January 5, 2016

KOCHA REAL MADRID ATIMULIWA


Kocha wa Real Madrid aliyedumu kwa miezi saba pekee Raphael Benitez ametimuliwa na klabu hiyo ya Uhispania kutokana na matokeo mabovu ambayo timu hiyo imekuwa ikiyapata kwa kipindi alichokuwepo. Kutokana na kutimuliwa kwake huko kocha Zinedine Zidane amepewa majukumu kama kocha mpya wa timu hiyo akiwa kama m'badala wa kocha huyo aliyetimuliwa.