January 30, 2016

DK. ASHA-ROSE MIGIRO AKUTANA NA BALOZI WA UFARANSA

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, anayeshughulika na Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI) Ndugu Asha-Rose Migiro, akimkaribisha Balozi wa Ufaransa  Nchini Tanzania, Malika Berak, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam
Ndugu Asha-Rose Migiro akizungumza na Balozi wa Ufaransa  Nchini Tanzania, Malika Berak