October 13, 2015

TAARIFA KUTOKA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU(HESLB)Ifuatayo ni taarifa iliyotolewa kwenye tovuti ya Bodi ya Mikopo ikiwahusu waombaji wa mikopo wa Elimu ya Juu:-

TAARIFA YA UFAFANUZI

Tunapenda kufafanua kuwa taarifa zinazosambazwa katika baadhi ya mitandao ya kijamii kuwa orodha ya majina ya waombaji wa Mikopo waliofanikiwa kwa mwaka wa masomo 2015/2016 imetoka sio za kweli. Kwa sasa, kazi ya uchambuzi wa maombi ya mikopo yaliyowasilishwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu bado inaendelea.

Mwisho.