September 9, 2015

WAWEZA KUCHEKA: WASSIRA AWAJIBU KASHFA WAPIGA KURA WAKE

Kampeni hizi mpaka ziishe Watanzania tutajionea mengi ya kuchekesha na kuudhi. Wassira akiwa kwenye kampeni juzi aliulizwa Swali na Wananchi kuwa aliahidi kwa kipindi chake alichokua Mbunge angeleta Maji lakini mpaka sasa hamna maji.

Mbunge huyo nae alijibu kwa kuuliza Swali,  "Kama Mnasema Hamna Maji, Je Mnamezea nini Dawa?"

Hili swali liliwashinda Wananchi hao kulijibun na hivyo Mbunge huyo akaifanya egenda hii ya tatizo la Maji sio tatizo kubwa kwa kuwa Watu Wanakunywa Dawa.