September 11, 2015

DK MAGUFULI KATUDANGANYA? HILI NI GARI AU NDEGE?

Mwanzoni mwa kampeni za mgombea urais kwa tiketi ya CCM,  Mhe Magufuli aliahidi kwamba hatotumia usafiri wa anga bali atatumia usafiri wa gari ili aweze kuona mazingira halisi na hali ya watanzania. Kwa picha hiyo hapo juu inavyojieleza habari hatukudanganywa watanzania?  Si anashuka kwenye chombo cha usafiri cha anga?