August 22, 2015

HIKI NDICHO ALICHOPOST FREDRICK MWAKALEBELA FACEBOOK, NI MATUSI MAKUBWA KWA CHADEMA

Kwenye ukurasa halisi wa Facebook Mwakalebela amepost picha hii inajieleza
Watu wengi walio comment kwenye picha hii wamemlaumu sana na kumtukana kwamba amekosa busara kwa kiongozi kama yeye tena DC kufanya hivyo.
Wengi walidhani labda kunamtu ametafuta password na kupost kwa siri picha hiyo lakini pia kaja ka comment tena kama inavyoonekana.


Bado hatuwezi kuamini moja kwa moja kwamba yeye mwenyewe Fredrick Mwakalebela kafanya kitendo hiki na hasa ikizingatiwa kwamba siku hizi wapo watu wengi wajeuri wa kimitandao. Lakini kama ni kweli yeye ndiye aliyefanya hivyo kwa utashi wake basi ajipime kama anatosha kuwa Mbunge wa Iringa Mjini.